Mafunzo kwa viongozi yataepusha migogoro - DAREVA
Chama cha mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam DAREVA kimesema wanaamini kozi ya viongozi itasaidia kuweza kuwakumbusha viongozi hao taratibu na sheria za mchezo huo kwa upande wa mkoa wa Dar es salaam.
