Idris Sultan aomboleza watoto wake na Wema Sepetu

Idris Sultan ambaye ni mwenzi wa mwanadada Wema Sepetu, ambao hivi karibuni walitoa taarifa kuwa wanatarajia kupata mtoto, ameibua hisia za mashabiki wake baada ya kuandika ujumbe unaoashiria kuharibika kwa ujauzito huo wa mwenzi wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS