Mashabiki Simba na Yanga watakiwa kuwa watulivu Kuelekea mpambano wa Jumamosi wa watani wa Jadi Simba na Yanga, Mashabiki na viongozi wametakiwa kutulia ili kuwaacha wachezaji kufanya kazi yao wanapokuwa uwanjani. Read more about Mashabiki Simba na Yanga watakiwa kuwa watulivu