Nimetoa talaka tatu kwa mke wangu - Petit Man

Kijana Petit Man ambaye amejizolea umaarufu mkubwa mjini kupitia mitandao ya kijamii na kumanage wasanii kama Mirror na Denjavu, amefunguka juu ya kuachana na mkewe Bi Esma Khan na kukanusha kuwa mama yake mzazi ni chanzo cha wao kuachana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS