Polisi hakikisheni amani ipo Z'bar - Masauni Naibu waziri wa mambo ya ndani Yusuph Masauni amelitaka jeshi la polisi Kisiwani Zanzibar kuhakikisha amani na usalama vinakuwepo kabla na baada ya uchaguzi wa marudio kisiwani humo. Read more about Polisi hakikisheni amani ipo Z'bar - Masauni