Magufuli ataka polisi kurudisha ulinzi bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka jeshi la polisi nchini kurejesha kitengo cha ulinzi bandarini na pia eneo ambalo linafungwa mita za mafuta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS