Waandishi wa vitabu watakiwa kueneza Kiswahili

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala

Wataalamu wa lugha ya kiswahili nchini wametakiwa kuandika na kuhakikisha vitabu na machapisho yanayoandikwa yanalenga kukuza na kusaidia kuenea kwa lugha ya kiswahili ndani na nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS