Umoja wa Ulaya kuchukua hatua zaidi juu ya Burundi

Waandamanaji wakuwa wamemkamata polisi wa kike na kumburuza nchini Burundi katika Mji Mkuu wa nchi hiyo.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya leo wamekubaliana kuchukua hatua dhidi ya Burundi inayokumbwa na ghasia, hivyo kuongeza shinikizo kwa viongozi wa serikali kuutatua mzozo wa kisiasa, baada ya mazungumzo ya amani kukwama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS