Wafanyabiashara waandamana kupinga Ushuru, Iramba

Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida

Wafanyabiashara zaidi ya 150 wa kijiji cha Misigiri wilayani Iramba Mkoani Singida wameandamana na kutaka kuifunga ofisi ya kijiji hicho baada ya kupandishiwa tozo ya maegesho ya malori toka sh. 3000 hadi 6000.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS