Serikali yafurahishwa na uokozi mkoa wa Iringa
Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Naima Mrisho amesema serikali imeridhishwa na uongozi wa mkoa wa Iringa katika kukabiliana na maafa yaliyowakumba wananchi wa tarafa ya Idodi na Pawaga baada ya mafuriko.
