Hii ya Ray Kigosi kwangu ni mpya -Baraka Da Prince Msanii Baraka da Prince amejibu kauli ya Ray aliyoitoa hapo jana na kutoa siri ya yeye kubadilika rangi yake, na kusema kuwa anakunywa maji mengi na kufanya mazoezi sana. Read more about Hii ya Ray Kigosi kwangu ni mpya -Baraka Da Prince