Ujenzi wa Barabara ya Mwenge- Moroko washika kasi
Kasi ya ujenzi wa barabara ya kutoka Mwenge hadi Moroko jijini Dar es salaam inaendelea kwa kasi na kuashiria kusaidia kupunguza foleni kwa watumiaji wa barabara hiyo inayoelekea katika ofisi nyingi za serikali na makampuni binafsi hapa nchini.
