Simba kulipa kisasi, Yanga yahitaji point Tatu

Kuelekea pambano la watani wa Jadi Simba SC na Yanga kunako ligi kuu ya Soka Tanzania Bara litakalopigwa Jumamosi uwanja wa Taifa, mashabiki wa vilabu hivyo wameendelea kutambiana huku kila mmoja akijinadi kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS