Weupe wangu ni kwakuwa nakunywa maji mengi - Ray Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie hapa nchini Ray Kigosi amesema kwamba yeye hajawahi kujichubua bali huwa anakunywa maji mengi pamoja na kufanya mazoezi . Read more about Weupe wangu ni kwakuwa nakunywa maji mengi - Ray