Mechi za kirafiki zitajenga kujiamini-Twiga Stars Kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake Twiga Stars Nasra Juma amelitaka Shirikisho la Soka nchini TFF kuitafutia timu yake mechi ya kirafiki ili kuweza kuwajengea uwezo zaidi wachezaji wake zaidi. Read more about Mechi za kirafiki zitajenga kujiamini-Twiga Stars