MTWAREFA kuviadhibu vilabu vinavyohusika na rushwa
Chama cha Soka Mkoani Mtwara MTWAREFA kimesema, kinakamilisha uchunguzi wake juu ya fedha zilizokutwa katika karatasi ya majina ya wachezaji aliyokabidhiwa mwamuzi wakati wa michuano ya ligi ya mkoa ikiendelea.
