Zidane aweka rekodi tatu kubwa Real Madrid
Kocha Mkuu wa Real Madrid Mfaransa Zinedine Zidane ambaye enzi zake alijulikana kama 'Zizou' ameweka rekodi tatu kubwa huku pia akiweka rekodi ya kipekee yakuwa Mfaransa wa kwanza kuchukuwa ubingwa huo akiwa kocha wa timu ya nje ya nchi yake.