Wakurugenzi watakiwa kuanzisha miradi ya Ng'ombe

Serikali ya Tanzania imetoa agizo kwa wakurugenzi nchini kuanzisha miradi ya ufugaji wa ng’ombe ili kuwasaidia wanafunzi kupata maziwa shuleni na kuwajengea tabia ya unywaji wa maziwa wakiwa bado wadogo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS