Yanga kuweka kambi Uturuki!

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuweka kambi nchini Uturuki kabla ya kuvaana na MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Juni 17, mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS