Upinzani wataka kuanzishwa kwa Wakala wa Maji

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeitaka Serikali kutimiza ahadi yake ya kuanzisha Wakala wa Maji Vijijini kama ilivyo Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) ili kusimamia utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi wa vijijini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS