Vijana wa miaka 17 wasumbua jeshi la polisi Dar Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia vijana 33 wa kundi maarufu kwa jina la Panya Road kwa kosa la kufanya matukio ya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam. Read more about Vijana wa miaka 17 wasumbua jeshi la polisi Dar