Stars na Misri zapeleka mbele riadha Taifa Chama cha Riadha nchini (RT) kimesema kimeahirisha mashindano ya Taifa ya Riadha yaliyotakiwa yafanyike mwaka huu kutokana na ratiba kuingiliana na mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu nchini. Read more about Stars na Misri zapeleka mbele riadha Taifa