Mbunge Prof. Jay aomba barabara ya Kilosa - Mikumi
Mbunge wa Mikumi Mkoani Morogoro Joseph Haule CHADEMA ameiomba serikali kujenga barabara ya Kilosa hadi Mikumi ambayo ni kilomita 78 kwa kiwango cha lami kwani ni kichocheo kikubwa sana cha maendeleo.