"Wasanii acheni issue haramu",- Prof. Elisante. Serikali imesema ina nia njema na wasanii na kuwataka kutojihusisha na vitu haramu, kwani sio mfano mzuri kwa jamii wakiwa kama kioo kwao. Read more about "Wasanii acheni issue haramu",- Prof. Elisante.