Yanga yakanusha kuondoka kwa Ngoma Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga, Donald Dombo Ngoma. Uongozi wa Klabu ya Yanga umekanusha taarifa zilizoenea kwamba mshambuliaji wao raia wa Zimbabwe Donald Ngoma anataka kuihama klabu hiyo. Read more about Yanga yakanusha kuondoka kwa Ngoma