VETA ndiyo suluhisho la tatizo la ajira kwa vijana

Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini VETA, Bw. Sitta Peter.

Ukosefu wa ajira na hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili vijana nchini itapungua iwapo vijana hao watajiunga na vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi (VETA) ambayo sasa vinatoa mafunzo yanayoweza kuwapatia vijana ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS