Rais Dkt. Magufuli ateua watatu kumsaidia kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Shabani Ally Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo Jaji Shabani Lila alikuwa Jaji Kiongozi. Read more about Rais Dkt. Magufuli ateua watatu kumsaidia kazi