Wanawake tujifunze mbinu za uongozi –Mghwira
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Anna Mghwira amesema kuna haja ya wanawake kujifunza mbinu za uongozi na kuchangamkia fursa za uongozi zilizopo kwenye ngazi mbalimbali ndani ya jamii ili kuepuka kutumiwa vibaya na wanasiasa.