Wanunuzi wa Hisa za DSE waongezeka

Meneja Miradi na Biashara wa DSE Bw. Patrick Mususa

Kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaokwenda kununua hisa za Soko la Hisa la Dar es Salaam, wengi wakiwa kutoka nje ya jiji la Dar es Salaam, hasa kutoka mikoa ya Tanga, Iringa na Morogoro baada ya DSE kuuza hisa katika soko ambalo pia inalisimamia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS