Miaka kumi na moja ya Jay Mo bila video

Msanii Jay Moe

Wakati wasanii wengine wa Bongo fleva wakizidi kutoa video kali ili waendelee kuwa juu katika 'Game' ya muziki lakini imekuwa tofauti kwa Rapa Jay Mo kwani ana miaka kumi na moja hajaachia video yeyote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS