Miaka kumi na moja ya Jay Mo bila video Msanii Jay Moe Wakati wasanii wengine wa Bongo fleva wakizidi kutoa video kali ili waendelee kuwa juu katika 'Game' ya muziki lakini imekuwa tofauti kwa Rapa Jay Mo kwani ana miaka kumi na moja hajaachia video yeyote. Read more about Miaka kumi na moja ya Jay Mo bila video