Tanzania ibadi sheria ya ndoa1971 kulinda watoto
Tanzania imetakiwa kuharakisha mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo inaruhusu watoto wakike kuolewa wakiwa na miaka 15 jambo ambalo limetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayo endeleza ukatili kwa watoto.