Farid Musa ahifadhi jezi ya Mohamed salah wa Misri
Kiungo wa Chelsea anayechezea AS Roma kwa mkopo, Mohammed Salah, alilazimika kuomba jezi ya kiungo wa Taifa Stars, Farid Mussa, kutokana na uwezo aliuonyesha kiungo huyo katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa Afrika dhidi ya Misri.