Mourinho amsajili Eric Bailly wa Ivory Coast Eric Bailly Mlinzi wa Kati wa kikosi cha Villarreal, Eric Bailly ndiye mchezaji wa kwanza kunyakuliwa na meneja mpya wa Manchester United Jose Mourinho . Read more about Mourinho amsajili Eric Bailly wa Ivory Coast