Mahakama yakubali ombi wanafunzi wa St. Joseph
Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam imetoa agizo kwa wanafunzi wanne waliofukuzwa Chuo Kikuu cha St. Joseph kuwawakilisha wenzao 316 katika kesi ya kuishtaki tume ya Vyuo Vikuu TCU na chuo hicho, kwa kuwapa masomo hewa.