Lazima simu feki zizimwe ili sheria ifanye kazi
Serikali imesema kuwa lengo kuu la kutekeleza zoezi la kuzizima simu feki nchini Tanzania ni pamoja na kudhibiti matukio ya uhalifu yanayofanyika na simu hazo ambapo serikali inashindwa kuzifauatilia kwa kuwa hazina vigezo vya kusajiliwa.