Ubakaji watoto waongezeka kutoka 422 hadi 2,358

Waziri wa Afya, ustawi wa jamii jinsia wazee na watoto nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema Matukio ya ubakaji watoto nchini yameongezeka kutoka watoto 422 mwaka 2014, kufikia matukio 2,358 mwaka jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS