Biashara soko la Africa Mashariki ni Bure
Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Africa Mashariki inawataka wafanyabiashara nchini Tanzania kuchangamkia fursa za kibiashara zinazopatikana katika soko la pamoja la nchi wanachama wa afrika Mashariki ambapo kwa hivi sasa hawatatozwa ushuru.