Masimango yalinifanya nimtafute baba yangu- Gerry Msanii Gerry wa Rhymes amefunguka kuhusu sababu iliyomfanya amfuate baba yake mkoani Shinyanga, na kuonana naye kwa mara ya kwanza baada ya miaka 21 kupita, tangu waonane kwa mara ya mwisho. Read more about Masimango yalinifanya nimtafute baba yangu- Gerry