Cavaliers, Golden State, fainali ya kujirudia NBA
Timu za Clevaland Cavaliers na Golden State Warriors zitakutana kwa msimu wa pili mfululizo katika fainali ya ligi ya kulipwa ya mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA) itakayoanza kupigwa jumatatu ijayo.