Mbunge John Heche alitii kamati ya Bunge -Mkuchika

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, George Mkuchika amesema kwamba Mbunge wa Tarime vijijini John Heche (Chedema) amepewa adhabu ndogo ya kutoshiriki vikao 10 vya Bunge linaloendelea kwa kutii kamati ya Bunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS