Majaliwa kwenda Botswana hii leo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anaondoka nchini leo,kwenda Gaborone,Botswana kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika wa Double Troika ya Asasi ya Siasa Ulinzi na Usalama utakaofanyika kesho.
