Serikali kuongeza madaktari wengi waliosajiliwa
Serikali imesema kuwa ina mkakati mahsusi wa kuhakikisha wanaongeza kiasi cha madaktari ambao wamesajiliwa kwa ajili ya kutoa huduma za afya ili kuwa na madkatari wengi zaidi wanaofanyakazi kwenye serikali.
