Kocha wa Wales atamba kuwazamisha Ureno leo

Kocha Chriss Coleman akishangilia goli.

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wales Chriss Coleman amesema licha ya kutopewa nafasi kubwa ya kushinda leo dhidi ya Ureno lakini wao wamejipanga kikamilifu katika mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza ya mataifa bingwa Ulaya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS