Mashabiki wamwandama Belle 9 Star wa Bongo Fleva Belle 9 Siku chache baada ya msanii mkali wa r&b bongo Belle 9 kuweka brich kichwa kizima mashabiki zake wamekuja juu kwa kumshushia matusi na maneno ya kumdhihaki kwenye mitandao. Read more about Mashabiki wamwandama Belle 9