Wanaotaka UK ijitoe EU washinda kura

Kiongozi wa UKIP, Nigel Farage akishangilia ushindi.

Mataifa yanayounda Umoja wa Kifalme wa UK yamepiga kura ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya ambapo kambi inayotaka kujitoa imeshinda kwa kupata kura asilimia 52 dhidi ya asilimia 48 za hapana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS