Bekele aachwa nje ya kikosi cha Rio de Jeneiro
Bingwa wa zamani wa mbio ndefu duniani Haile Gebreselassie amelalamikia shirikisho la riadha nchini Ethiopia kwa kumwacha bingwahuyo wa mara tatu wa mashindano ya Olimpiki, Kenenisa Bekele nje ya kikosi cha taifa hilo.