Tenisi walemavu watembeza bakuli maandalizi EAC.
Wakati timu ya taifa ya mchezo wa Tenisi kwa walemavu ya Tanzania ikijiandaa na michuano ya wazi ya Kenya timu hiyo bado inakabiliwa na upungufu wa fedha kwaajili ya maandalizi na pia vifaa hasa viti vya magurudumu ambavyo ndiyo kama miguu yao.