Rais Obama aongea kwa simu na rais Uhuru
Rais Barack Obama ameongea kwa njia ya simu na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jana na kuahidi serikali yake kuisaidia Kenya ili kuhakikisha mahitaji ya wakimbizi na jamii zinazoishi karibu na wakimbizi yanatimizwa.

