EU EOM; Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na dosari
Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya EU EOM wamesema katika uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka jana kulikuwa na mapungufu kadhaa ikiwa ni pamoja na Tume ya Uchaguzi nchini NEC kutokuwa na uwazi juu ya michakato ya kufanya maamuzi.